Kidole cha Habiba
Autor: | Momanyi, Clara |
---|---|
EAN: | 9789966362209 |
Sachgruppe: | Kinder- und Jugendbücher |
Sprache: | metaCatalog.groups.language.options.swahili |
Seitenzahl: | 24 |
Produktart: | Kartoniert / Broschiert |
Veröffentlichungsdatum: | 01.07.2012 |
Schlagworte: | Young Adult Fiction |
12,50 €*
Nicht verfügbar
Kidole cha Habiba ni kimoja cha vitabu katika msururu wa Little Birds ECDE vilivyoandikwa kuwapa watoto maarifa na ujuzi wa kujilisha. Yanayofundishwa katika hadithi hii ni pamoja na kunawa mikono kabla ya kula na adabu njema wakati wa kula. Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwa watoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi na wa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendeza imetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza na kufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadili yaliyomo wanaposoma.