Sudi na Shada darasani
Autor: | Momanyi, Clara |
---|---|
EAN: | 9789966641915 |
Sachgruppe: | Kinder- und Jugendbücher |
Sprache: | metaCatalog.groups.language.options.swahili |
Seitenzahl: | 30 |
Produktart: | Kartoniert / Broschiert |
Veröffentlichungsdatum: | 12.06.2019 |
Schlagworte: | Young Adult Fiction |
13,50 €*
Nicht verfügbar
Sudi na Shada pamoja na wenzao wamo darasani wanasoma kuhusu aina za rangi. Shada anawauliza wenzake swali kutaka kujua kama wanayaelewa mazingira ya darasani mwao. Je, swali hili linahusu nini? Wanafunzi wanapata jibu lake ama wanashindwa? Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi si tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.